Mungu Ibariki Afrika
(Swahili)
Set to music by Enoch Sontonga
Mungu ibariki Africa
Wabariki viongozi wake
Hekima, umoja, na amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na umoja
Wake kwa waume ma watoto
Mungu ibariki
Tanzania na watu wake
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania
God bless Africa
Bless its leaders
Let wisdom, unity
and peace be the shield of
Africa, and its people.
Bless Africa
Bless Africa
Bless the children of Africa
God bless Tanzania
Grant eternal freedom and unity
to its sons and daughters
God bless
Tanzania and its people
Bless Tanzania
Bless Tanzania
Bless the children of Tanzania